Uchaguzi 2020 Kishindo cha Magufuli Sekta ya Viwanda, Kilimo, Uvuvi na Ufugaji

Porojo tupu
 
Member mpya kabisa na hoja ndefu na fikirishi, hayo uliyoandika yanathibitishwa na hali ya kiuchumi ya wananchi imekua na hawaishi tena kama mashetani.
 
Germany wana viwanda Nne mia nane 4800
Tanzania ina viwanda Elfu nane mia nne sabini na saba. 8477.

Tanzania kuizidi Germany viwanda Huu ndio uongo uliopindukia.

Selikali ya awamu ya 5 imaongoza kwa uongo Duniani.
 
Member mpya kabisa na hoja ndefu na fikirishi, hayo uliyoandika yanathibitishwa na hali ya kiuchumi ya wananchi imekua na hawaishi tena kama mashetani.
Ww uliyepo humu kwa muda Mrefu kam jini bila hoja wala mchango wowote una tofauti gani na kichaa
 
Ivyo viwanda vipogo wapi nikaaply kazi,,
 
Ujue ivyo viwanda 8477 ukigawanga kila mkoa unapa viwanda 273 kila mkoa,, Sasa mbona ivionagi arooo.. ivyo viwanda vinatengeneza bidhaa gani . CCM acheni kucheza na akili za walalahoi
 
Dduhh Sina muda wa kusoma maelezo ya kipuuzi hivyo
Eti magufuli amejenga VIWANDA zaidi ya 8000
Huyu mtoa mada ni Mpuuzi Sana hivi hata kama mtaji wa CCM ni darasa la saba kweli wanaweza kuamini upuuzi huu?
 
Ujue ivyo viwanda 8477 ukigawanga kila mkoa unapa viwanda 273 kila mkoa,, Sasa mbona ivionagi arooo.. ivyo viwanda vinatengeneza bidhaa gani . CCM acheni kucheza na akili za walalahoi
Hayo maelezo ni kwa wajinga na kuna watu wanaamini
 
Kazi nzuri Mh. Rais endelea kutuletea MAENDELEO Watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…