Masanjaone
JF-Expert Member
- Nov 15, 2019
- 844
- 598
Asisahau kuzungumzia michango wanayochangishwa wabunge, seating allowance zinazokatwa kwa wabunge, makato ya mishahara, rudhuku ya serikari,pamoja na kutoa ufafanuzi wa chama kutokuwa na office zachama pamoja na mishahara ya viongozi wasio wanachama.F.H. Mbowe ataongea vitu vya msingi tupu.
Acha kina Bashiru waendelee kucheza kombolela
Sent using Jamii Forums mobile app
No hate no fearView attachment 1370832
Unaambiwa Usiku wa kuamkia siku ya deni hauchelewi kucha , ile siku ya wanafiki na wala rushwa kuumbuka , siku ambayo imeahirishwa mara kadhaa na watu waoga kwa sababu za kinafiki , hatimaye imefika rasmi , hakutakuwa na cha Mswalie Mtume wala Yesuu na Maria !
Wote Mnakaribishwa .
Naona ameenda kuwaaga, ...
F.H. Mbowe ataongea vitu vya msingi tupu.
Acha kina Bashiru waendelee kucheza kombolela
Sent using Jamii Forums mobile app
EEeeh, hebu kwanza!unadhani ni kwanini wabunge wa ccm wanaogopa kuitisha mikutano ya hadhara kwenye majimbo yao ?
Michango wanayotoa wabunge+ wanachama ni kwa ajili ya kujenga chama, hili lipo waziAsisahau kuzungumzia michango wanayochangishwa wabunge, seating allowance zinazokatwa kwa wabunge, makato ya mishahara, rudhuku ya serikari,pamoja na kutoa ufafanuzi wa chama kutokuwa na office zachama pamoja na mishahara ya viongozi wasio wanachama.
Lakkni pia atoe ufafanuzi mgogoro wa mwanamke anae mpendekeza kuwa mwenyekiti wa kanda ya mwanza ambae wanachama hawamtaki je! Ana masrahi gani nae?.
Kama atabaki na kumzungumzia sabaya na tume huru mumwambie mapema nisawa ila aanze na mambo hayo kwanza vinginevyo hatutamuelewa .
Uzuri hata M/kt wa Lumumba fc taifa na wenye chama wanalijua hilo kwamba CDM imesheheni wenye akili timamuHilo ndiyo jembe na muhimili wa upinzani nchini tanzania ambao unapitia kwenye tanuru la moto
In God we Trust
Ole sabaya ana taarifa?
Upo sahihi mkuuUzuri hata M/kt wa Lumumba fc taifa na wenye chama wanalijua hilo kwamba CDM imesheheni wenye akili timamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuunguruma Hai? Kwani amekuwa mnyama Simba?
Hoja yako kimantiki inaonyesha Mbowe hajafanya mikutano na wapiga kura wake muda mrefu mpaka unadhani ni jambo la ajabu sana kwake kuongea na wapiga kura wake!
Freeman Mbowe alikuwa zaman akiunguruma mpaka Ikulu ya Mkwere inapata mafua na Chafya
Akitaka kuandamana basi inabidi IGP Said Mwema amwite Makao makuu ya Jeshi kuyajenga
Siki hizi DC wa Hai Bwana Mdogo anaweza akasamabaratisha Mkutano wa Mbowe kama wa Pohamba vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe alilikimbia Jimbo akamuachia Sabaya, sasa anarudi kufanya nini tena....View attachment 1370832
Unaambiwa Usiku wa kuamkia siku ya deni hauchelewi kucha , ile siku ya wanafiki na wala rushwa kuumbuka , siku ambayo imeahirishwa mara kadhaa na watu waoga kwa sababu za kinafiki , hatimaye imefika rasmi , hakutakuwa na cha Mswalie Mtume wala Yesuu na Maria !
Wote Mnakaribishwa .
Ole sabaya ana taarifa?
Chsma kimejenga nini wakati hakina office , wabunge wanahama, madiwani wanahama,wanachama wanahama, chama kinajenga mbinguni????Michango wanayotoa wabunge+ wanachama ni kwa ajili ya kujenga chama, hili lipo wazi
Kuhusu huyo m/kt anayependekezwa kura zitaamua (hiki ni chama chenye demokrasia ya kuigwa)
Sent using Jamii Forums mobile app