Kishindo: Freeman Mbowe kuunguruma Hai


Aangalie tu maneno ya kuongea maana yule kijana wa kijani hapo hai anaweza kujitafutia credit kwa kumsweka ndani.
 
Chsma kimejenga nini wakati hakina office , wabunge wanahama, madiwani wanahama,wanachama wanahama, chama kinajenga mbinguni????
Utakuwa mfaidika
Kujenga chama siyo kujenga majengo tuu mkuu bali ni pamoja na uendeshaji wa shughuli za kila siku za kichama kama vile ziara,mikutano mbali²,ulinzi wa viongozi, matibabu(na hapa kuna mfano hai,T.A.Lissu)
Wabunge kuhama kama unavyosema ndo siasa ilivyo, ila waliobaki pia si unawaona wanaendelea na mapambano?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanaotafuta mkate CDM wakikosa ndio huwa na tabia kama zako, huwa mna kelele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndio unawasaidia kulalamika wanaokatwa, ni msemaji wao?

Kama unaamini Mbowe anawaibia kwa nini usikusanye ushahidi upeleke mahakamani?

Wacha kelele zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hujaeleweka inamaana ndiyo anaenda kutaja wala rushwa? anawajua na ushahidi anao? kwanini asiende polisi kuwashitaki badara yake anaenda kuwasuta mkutanoni hizo ni tabia za kike kukodi mdundiko kwenda kumsuta mtu kamchukulia mwenzie bwana hivi hana sera za kuenda kueleza wapiga kura wake maana kunahatihati ya kuukosa na ubunge wenyewe wa hai
 
Mbunge kuzungumza na wananchi wa Jimbo lake siku hizi ni Habari?

Hizi ni dalili za mbunge huyo kupoteza legitimacy wa kuendelea kuwa mbunge...
haswa maana anaona nayo ni ishu kubwa sana mbona hakuna jipya hapo
 
nim mambo ambayo hawezi kuyazungumzia maana pesa anapiga yeye sasa atawaambia nini
 
Mbunge kuzungumza na wananchi wa Jimbo lake siku hizi ni Habari?

Hizi ni dalili za mbunge huyo kupoteza legitimacy wa kuendelea kuwa mbunge...
KAMA SIYO HABARI KWA NINI HUWA MNAWAZUIA KUFANYA MIKUTANO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…