Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Nilishaamka bana, ila kimestua sana kwani hadi Mbwa wamebweka kwa woga mkuu.Ebu lala huko utakuwa umeota tu
HahahahahaahhahahaahaMwanga tu kadondoka mkuu na ungo!
Endelea kulala
Hujambo mwanangu?Ebu lala huko utakuwa umeota tu
Mkuu,Badala ya kutoka nje na panga uone kinachojili umekimbilia kuanzisha uzi
Hilo ni tairi la gari kubwa au mtungi wa gas
una uhakika hao watakuwa mbwa au paka!!mbwa gani anazimia akisikia kishindo,akija mwizi hao mbwa utawakuta darini aiseeMkuu,
Nimetoka nimekuta Mbwa wangu wamezimia ila kwa sasa wapo vizuri.
Mkuu upo?una uhakika hao watakuwa mbwa au paka!!mbwa gani anazimia akisikia kishindo,akija mwizi hao mbwa utawakuta darini aisee
duh hao mbwa wanakichwa cha binadamMkuu,
Nimetoka nimekuta Mbwa wangu wamezimia ila kwa sasa wapo vizuri.