Kishindo kikubwa maeneo ya Sinza/Mwenge/Kijitonyama.

Ni wale wadada wa kona bar na pale moli wametoa ushuzi
 
Na bado,subirini hiyo tarehe yenu pendwa mtayasikia zaidi ya hayo?
 
Kishindo tu kimekutisha,dah nyie ile tarehe hatobaki mtu barabarani
 
Kwa kushirikiana; Kenya, Somalia na
Tanganyika ziko kwenye ugawaji ardhi kwa kujitenga na Africa, ndo sauti ikatoka, sikilizeni sauti ya mpasuko huo!
 
Habari za asubuhi, Punde tu muda wa saa 11:00 kamili umesikika mshindo mkubwa sana mithili ya Bomu maeneo hayo tajwa. Walio Karibu ni Nini?
Nadhani unataka kujua tu ni kishindo cha nini ili uongeze kufunga na komeo lingine la mlango na kutokutoka ndani kabisaa kwa siku ya leo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…