Habari za asubuhi, Punde tu muda wa saa 11:00 kamili umesikika mshindo mkubwa sana mithili ya Bomu maeneo hayo tajwa. Walio Karibu ni Nini?
Ha a ha a a.., umeua aiseee, yani hawa Jamaa ni Kiboko!!!
Hii stori ya BBC ilinishangaza kidogo. Eti kuna uwezekano Wa kutokea bahari halafu tukawa bars lingine, Hizi tafiti nyingine muflisi.Kwa kushirikiana; Kenya, Somalia na
Tanganyika ziko kwenye ugawaji ardhi kwa kujitenga na Africa, ndo sauti ikatoka, sikilizeni sauti ya mpasuko huo!
hahaha [emoji23][emoji28][emoji23]Mkuu,
Nimetoka nimekuta Mbwa wangu wamezimia ila kwa sasa wapo vizuri.
[emoji56]Ulikua unaota mkuu
Ni Transformer ya Wapi maana ilipiga Kishindo cha haja. Huyo jamaa mliyemuokota yuu hai.We kijana Tusker Bariiiidi kumbe ndiyo wewe, sasa nimekushika pabaya. Wewe ulipita mtaani kwetu ukitokea pale Bar ya Meada kutafuta machangu....baadhi tulikuona ila wewe hukutuona. Ukapita pale mtaani na washikaji zako huku mmebeba ndoo ya plastiki na nondo, mkapanda mnara wa Tanesco kuiba mafuta ya transformer ndipo mkalipukiwa na umeme. Mwenzako tumemuokota sie wasamalia Wema, bado wewe tu na tutakukamata.
Ni Transformer ya Wapi maana ilipiga Kishindo cha haja. Huyo jamaa mliyemuokota yuu hai.
nipo ndugu,hao mbwa wako tupa tu aisee,Rottweiler wangu kazaa jana ombea Mungu wapone nikupe mbwa ambae hazimii kwa kashkash..haahhhMkuu upo?