Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Mwanzo nilidhani wanafumua sementi ili asubuhi waweke tiles au wanavunja ukuta, baadaye hali ikawa mara mbili ya ile ya awali, kama kweli watu wanatumia hayo madawa basi anayejiumiza ni mwanaume siyo aliyepaniwa, ndiyo maana tunakufa mapema kuliko wao