Ha Haa HaaaaHaha...imebidi niangalie kulia na kushoto maana sikuamini kuwa mimi ndiye niliyepewa jina hilo.
But seriously sometimes it becomes more exciting to wait for things to happen and let the people take the surprise of the reality.
Asante sana kumwelimisha mkuuAtahutubia Taifa kupitia wajumbe wa mkutano mkuu,ndo maana utatangazwa moja kwa moja na vyombo vya habari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa historia.Ndivyo tunavyoweza kusema kwani mkutano mkuu wa CHADEMA Desemba 18 utahudhuriwa na taasisi na mashirika makubwa ya ndani na nje ya nchi pengine kwa mara ya kwanza katika historia ya mikutano mikuu ya vyama.
Chanzo kimoja cha Taarifa kutoka ndani ya chama hicho chenye wanachama milioni 6 ni kwamba tayari mabalozi 14 wanaowakilisha nchi zao hapa nchini wamethibitisha kushiriki mkutano huo wakiwemo mabalozi wa mataifa makubwa duniani.
Pia inadaiwa Taasisi na mashirika mbalimbali zaidi ya 19 tayari yamethibitisha kushiriki katika mkutano mkuu huo ambao umekuwa gumzo ndani na nje ya nchi kwa Takribani mwezi mmoja sasa.Mojawapo ya Taasisi kubwa duniani inayotarajiwa kutuma wawakilishi wake ni Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Amnesty International
Pia wanazuoni,viongozi wa dini,wafanyabiashara wakubwa,vyama vya siasa na watu kadhaa mashuhuri wamepewa mialiko kuhudhuria mkutano mkuu huo.
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe anatarajiwa kulihutubia Taifa kupitia mkutano mkuu katika hotuba inayotarajiwa kuchukua saa mbili.Katika hotuba hiyo Mbowe anatarajiwa kuhitimisha utawala wake wa miaka mitano na kutoa mwelekeo wa chama hicho kwa miaka ijayo.
Katika kuelekea mkutano mkuu wa Desemba 18 ulinzi umeimarishwa katika maeneo yote ya Mlimani City ulipo ukumbi utakaotumika huku askari waliovalia kiraia na wenye sare wakionekana kurandaranda wakiwemo vijana wa ulinzi wa chama hicho Red Brigade.
Kabla ya Mkutano Mkuu Jumatano Desemba 18 siku ya Jumatatu Kamati Kuu ya Chama hicho itakutana hapo hapo Mlimani City huku Baraza Kuu likikutana siku ya Jumanne ikiwa ni siku moja kabla ya Mkutano Mkuu.Vikao hivi vya Kamati Kuu na Baraza kuu vitapitisha majina ya wagombea nafasi za Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho kikuu cha upinzani nchini.
Kwanini mnafanyia mkutano maeneo ya kifahari ili hali wapiga kura wenu ni maskini
Inaboa sana kwa kweli
Pole nduguHUKU KUNAITWA KUUPAMBA UCHAFU
Huyu brother namfananisha na shujaa Mkwawa mbele ya utawala wa wajerumani.Mwamba Tuvushe
View attachment 1292088
Asante sana kwa kuuona ukweliHuyu brother namfananisha na shujaa Mkwawa mbele ya utawala wa wajerumani.
Mkwawa huku surrender mpaka mwisho.
Mbowe ni noma yaani wakoloni ccm wanahangaika Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
PoleChadema wamevaki wapambe wa mbowe
Atahutubia Taifa mkuu, usipate 'tetemeko'. Yajayo yanafurahisha.SAHIHISHA HAPO WEKA ATAHUTUBIA WANACHAMA SI KUHUTUBIA TAIFA
Ha zhaa HaaaAtahutubia Taifa mkuu, usipate 'tetemeko'. Yajayo yanafurahisha.
Kwa Chadema hii ni ''missed opportunity''. Fursa ilijitokeza wameshindwa kuitumiaAsante sana kwa kuuona ukweli
watanzania siyo maskini kivile maana umasikini wao hautokani na chama cha siasa bali mipango na utendaji wa serikali yao kufuatana na umuhimu wa vipau mbele vyake!!!!!!!!!!!!!Kwanini mnafanyia mkutano maeneo ya kifahari ili hali wapiga kura wenu ni maskini
Inaboa sana kwa kweli
Wanachamam wapenzi na mashabiki wa CHADEMA.SAHIHISHA HAPO WEKA ATAHUTUBIA WANACHAMA SI KUHUTUBIA TAIFA
Kwa Chadema hii ni ''missed opportunity''. Fursa ilijitokeza wameshindwa kuitumia
Ilikuwa ni muda mzuri wa kuonyesha kutamalaki kwa Demokrasia.
Baada ya mgogoro wa muda mrefu wa NCCR,James Mbatia aliitisha uchaguzi ulioonyeshwa 'live'
Taratibu nzima za uchaguzi zilikidhi viwango kiasi kwamba NCCR ilikuwa mfano wa kuigwa.
Kwa yaliojitokeza Chadema, sitegemei jipya!
JokaKuu Pascal Mayalla
Ni kipenzi chako na familia yako![emoji38]Kama hamjamualika Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania huo mkutano haujakamilika
Ulitaka ukafanyike wapi kwa mfano?[emoji35][emoji35][emoji35]Kwanini mnafanyia mkutano maeneo ya kifahari ili hali wapiga kura wenu ni maskini
Inaboa sana kwa kweli
Mkuu hayo yanayoendelea ni ya kuwataki kheri..mkutano wa bawacha.
..ratiba ya vikao vitakavyopelekea kupatikana kwa viongozi wa kitaifa wa cdm.