Kisiasa, kisheria nini maana ya neno 'MICHONGO'?

Tardy

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
1,287
Reaction score
1,607
Mara nyingi nilikuwa nasikia kwa vijana vijiweni Luna mchongo pale.

Nikaja kusikia mgombea Fulani anawambia vijana nitawapa michongo.

Jana nimesikia mahakamani Michongo.

Nini maana halisi ya neno Michongo?

Je, ina athali kisheria kutumia neno hilo kwa shahidi awapo mahakamani?
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mchongo ni mpango
 
Wanamwaga mboga na shahidi anamwaga ugali.Huyu wa mchana huu inaelekea atatapika kupita kiasi. Inasemekana ni komandoo na aliwahi kwenda Sudan kutunza amani.hapa kuna kuumbuana

Tutege masikio

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mchongo

Kujipatia au kutoa chochote kile kwa njia za konakona ama zisizo halali; mfano kazi, pesa, shahidi.[/b]
 
Mchongo wanaanzisha watu wa mitaani wao huko wanapokea tu huko juu na masuti yao

Ova
 
Huyu katibu wa Mkoa wa Chadema anaongea sana lugha ya mtaani.
Atakumbukwa Kwa kuwaeleza ukweli;
1. Mashahidi wa Mchongo
2. Mawakili wa Mchongo
3. Majaji wa Mchongo.
 
Lembrus ameharibu sana ushahidi wa upande wa diffense(DWs).
 
Sasa anakuwaje shahidi mzuri wakati yeye tayari ana malalamiko?
 
In short, amehitimisha kwa kulalamika mahakamani na sio kuhitimisha ushahidi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…