Car4Sale Kisima cha Magari tunauza magari aina mbalimbali

IST sio ya showroom, wala no DX* kati DK* hadi DT* lugha nyingine iliyosimama... Naomba bei....
 
Tatizo la tangazo lako Picha,

Picha za ndani ya gari hakuna ,ubavuni mbele nyuma za gari HAUKUNA AU NI CHACHE SANA.

IMEAMBIWA WEKA PICHA ZA KUTOSHA LAKINI UMEGOMA.


HAYA ENDELEA KUWEKA PICHA ZA KIBAJIRI KAMA UTAPATA WATEJA KWA HARAKA.

UJUE WENGINE WAPO MIKIANI ,PICHA INAWEZA KUMVUTA AKASAFIRI AU akaja inbox baada ya kuona picha NYINGI KUTOSHA ZA TANGAZO ZA Magari yako na zikamvutia akaja mwenyewe.Sasa wewe unaweka picha moja tu unawezaje kumvutia mteja aliyeko mbali? Mbaya zaidi hata PICHA ZA NDANI YA GARI HUWEZIWEKI ILI MTU AVUTIWE HATA NA PICHA ZA NDANI NAZO PIA HUWEKI!!!!!

IMEAMBIWA LAKINI SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA!!!!
 
Mkuu najaribu kuweka picha nyingi navyoweza lakini cha ajabu inatokea moja, sijajua sababu ni nini. Ngoja nijaribu kuwa naziweka zote kwenye picha moja labda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…