Halafu hivi hapa unaweza kupata gari la uhakika kweli.. kuna watu wanasema usuje kujiloga ukanunua gari kwa mtu.. hua yanakua mabovuBei zako zimesimama sana yaani mnoo, tofauti na showroom ni 500k - 2.5M tuu. Yaani bora mtu uende showroom tu moja kwa moja.