majiyashingo
Member
- Feb 2, 2011
- 44
- 2
Habari zenu wadau
jamani yoyote anayeweza kunisaidia juu ya hili nitashukuru sana.Nina project nimeanzisha ya kilimo cha umwagiliaji maeneo ya Kisarawe tatizo ni kwamba sina acess ya maji kwa kila siku. Natarajia kuchimba kisima ambacho kirefu sana ambacho kinawechoweza ktoa maji kama lita milioni moja kwa siku ambazo nitakuwa nahihifadhi kwenye tangi ambalo nalo niko mbioni kulijenga kama tu suala la kisima litakuwa safi.Je mnaweza kuniambia procedure za kuchimba kisima kama hiki?ni document gani nahitaji na wapi na shillingi ngapi natakiwa kulipa kupata kibali.Na je gharama za kuchimba kisima kutumia kam kampuni ambazo zinafanya mambo yake kitaalamu zaidi inaweza kugharimu kiasi gani.
Nawashukuru nyote asantane