Nasubiri kwa hamu
Mkuu inaelekea una uvumilivu kupindukia, tokea 8/4/2012 mpaka leo bado unasubiria tu!!
Have patience with all things, but chiefly have patience with yourself.- Saint Francis de Sales
tatizo ni kwamba umeme wa sola utaweza kuendesha pump? lakini kuchimba sio tatizo
Umeme wa solar unaweza sana kuendesha pump ya maji (submersible pump).
Kuna pump za DC (direct current) ambazo zinatumia solar power.
Kwa maelezo zaidi waone Davis & Shirtliff wao wana pump zote za solar na za umeme wa kawaida.
Umeme wa Solar unaweza kuendesha pump, tena zipo sokoni lakini gharama yake kubwa kidogo, halafu uwezo sio mkubwa sana hivyo utahitaji kupanga kuwe na storage; yaani, maji yanasukumwa polepole ndani ya tanki na utakapo yahitaji yawepo ya kutosha.tatizo ni kwamba umeme wa sola utaweza kuendesha pump? lakini kuchimba sio tatizo
Israeli unaweza kutuwekea anuani pepe za haojamaa kama unazo tukaona beizake kabla yakwenda huko mana wengi hapa wapo nje ya jiji
Ubarikiwe Mkuu