Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Ukiizima kwa Remote baada ya muda unakuta imejiwasha. Sijui shida ni nini. Na ni mpya haijaharibika kitu. Nazima kila napomaliza kuangalia....lakini baada ya sekunde nakuta ipo On.
Ukija kwenye remote nayo ina mauza uza sana. Unaweza ongeza sauti yenyewe ikabadili channel. Ukabonyeza Menu yenyewe ikaamua kubadili channel au ikawa inakutizama tu. Au ukabonyeza mpaka mara 5 halafu kwa hasira inakamua kuingia kwenye menu na kuanza ku search upya channels.
Sielewi jamaa wanatumia technology gani. Mimi nimezoea sana DSTV one touch wazungu hawa... Usije sema batteries. Ni mpya kabisa na ni Duracell siyo hizi batteries za elfu mbilimbili.
Azam mtusaidie sisi wengine please. Shida nini?