Kisimbuzi cha Azam Tv bila dish kinauzwa

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Nauza kisimbuzi changu cha Azamtv bila dish, tena kisimbuzi hiki ni cha Kenya yaani package ya kuangalia NBC Premier League wewe utatazama kwa kulipia 13,000/= tu badala ya elfu 20,000/= Na usiwaze jinsi ya kulipia kifurushi, utalipia kwa M-pesa Visa card kwenye simu yako.

Changamkia fursa hii.
 
Unapatkana wap mkuu
 
nahitaji
 
Unachokimoja au ndo biashara yako
 
Shida inakuja jinsi ya kuwapata customer care wa kenya maana ukiwapigia wa Tanzania watakwambia hawakutambui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…