Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Nina 50k niuzie mkuuKing'amuzi (Receiver) kipya cha Canal+ kimelipiwa mwezi mmoja kifurushi cha michezo. Kina remote, HDMI na AV cable. Nakiuza kwa 120k tu.
Mawasiliano 0629439450 popote natumaView attachment 2011170View attachment 2011171View attachment 2011172
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Ina maana dishi unanunua mwenyewe mtaani, sio?Kisimbuzi 135,000 bila dishi na malipo kwa mwezi ni 42,500/= swali pingine kama lipo
Ndio boss wanguIna maana dishi unanunua mwenyewe mtaani, sio?
Sawa nitarudi kumshawishi mteja.Biashara huwa hawafanyi hivi mkuu Rudi tena
Kumshawishi mteja
Mtu akiwa mkoani anakipatajeMzigo wa canal plus umefika kwa mwenye kuhitaji asisite kunicheck Bei Tsh.120,000 decoder peke ake.
Mawasiliano:+255712430116
Tuna kusafirishia pia kwa bei ya usafari utakao tumika kusafirisha hicho king'amuziMtu akiwa mkoani anakipataje
Naskia hao lugha ya matangazo ni french kuna ukwel wwt hapa
Upo mkoa ganVing'amuzi vya Canal Plus vinaonesha kwa ung'aavu wa HD michuano ya UEFA na Ligi zote tano kubwa Duniani.
Kwa kifurushi cha shilingi za kitanzania elfu arobaini (40,000) tu utashuhudia Ligi zote hizo.
Jipatie sasa Canal yako kwa shilingi laki moja tu decorder tupu na shilingi laki moja na elfu 20 kwa decorder na dish lake.
Mawasilino 0629439450, popote Tanzania unatumiwa kwa uaminifu mkubwa.
Inst: @canalplus_tanzania #canalplus
Upo mkoa gan