Kisimbuzi Cha startimes kinaniambia niingize dekod pin kwenye channel ya ITV. He dkoda pin number ipi

Kisimbuzi Cha startimes kinaniambia niingize dekod pin kwenye channel ya ITV. He dkoda pin number ipi

Ndio, fanya kujaza tarakimu sita za sufuri kwenye hivyo vijumba sita 000000[emoji108]
Imekubal jpo inajirudirudia kujilock. Hivyo nimepata pin ya kuifungua, nikibadilisha channel inajilock Tena. Lkn hkna shda sana
 
Back
Top Bottom