Kisimiri high school

robsony kazi

Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
16
Reaction score
0
Yeyote anaifaham ipo arusha sehem gani? na mzingira yake! Mdogo wangu amechaguliwa huko!
 
Ipo arumeru kupitia arusha national park! ni ya mchanganyiko, kuna magari ya urio na neema za mungu toka mjini hadi shuleni ndani nauli 4000/= chek kwa 06547586180 for details b'coz i used to be there!
 
kapangwa shule nzuri sana
ILA HUKO KUNA LIMWA BANGI SIJAPATA ONA MWAMBIE AANDAE MASWETA YA KUTOSHA
alafu kuna maji mekunduu japo meupe ya kunywa yapo

pia ajiandae kusoma maana kule mazingra ni rafiki sana
mpe hongera ila kama mtundu aache maana bangi inapatikana kirahsi sana😂😂😂😂😂
 
Yeyote anaifaham ipo arusha sehem gani? na mzingira yake! Mdogo wangu amechaguliwa huko!

Hii ndio ya tz ya bongo nnayoieshimu!!! Kama ana kichwa kizuri basi one yake!! Mpe hongera na kila la kheri kwake!!
 
Asanteni sana! dogo ndani ya week inayoanza kesho ataelekea huko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…