Kisinia kisicholeta ugonjwa wa Kisukari

Bado huzijui vizuri dalili za kisukari, vidonda kutopona hiyo steji ya juu jifunze zile za mwanzo harafu chukua hatua
 
Viazi vitamu vinachanganywa na maharage na nazi, ndizi kwa mapishi mbalimbali, maboga kwa mapishi mbalimbali, mchemsho wa samaki, nyama, matunda mazito parachichi, ndizi.
Asubuhi najishindilia uji wa lishe au maziwa.
Vipi kuhusu kupungua kilo? Hujaoungua sana?
 
Viazi vitamu vinachanganywa na maharage na nazi, ndizi kwa mapishi mbalimbali, maboga kwa mapishi mbalimbali, mchemsho wa samaki, nyama, matunda mazito parachichi, ndizi.
Asubuhi najishindilia uji wa lishe au maziwa.
Ok ni rahisi kupata nadhani umeondoa na mafuta ya kupika au umepunguza nitajaribu hii nione matokeo
 
Kwa waafrika wengi kisukari kinatokana na unywaji vinywaji vya viwandani, hizi juice sio nzuri Kwa afya zetu,kizazi cha Sasa tongu wakiwa wadogo ni mwendo wa juice na bei yake ni rahisi, hapo unaenda kwenye chips napo ni hatari.
Hebu tujiulize mbona soda za Pepsi na coca zipo miaka mingi na hazikuwa na madhara makubwa kama sasa.
Ushauri tuachane au tupunguze kutumia juice za viwandani hasa Kwa watoto ,Kuna baadhi ya familia Kila siku mtoto akienda shule lazima ampe juice aendenayo
 
Sasa unakula nini mwanetu?
Viazi vitamu vinachanganywa na maharage na nazi, ndizi kwa mapishi mbalimbali, maboga kwa mapishi mbalimbali, mchemsho wa samaki, nyama, matunda mazito parachichi, ndizi.
Asubuhi najishindilia uji wa lishe au maziwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…