Kisiwa chenyewe hata hakijulikani🤣🤣Huyu mzungu anaetaka kuuza kisiwa hiki ni mmliki wa kisiwi? Je nani alihusika kuuza hicho kisiwa mali ya watanganyika ?
Kwamba kuna watu wachache wanajimilikisha visiwa na kuviuza kwa wazungu ndugai aliwahi kusema hii nchi utakuja kuuzwa sasa kama wameuza kisiwa na haiko documented mahali popote watashindwa kuuza bandari? View attachment 3660342
Wewe kichwa boflo unakurupuka tu kama mnyama ndubwi na mimacho imekutoka ila hauoini kitu?Huyu mzungu anaetaka kuuza kisiwa hiki ni mmliki wa kisiwi? Je nani alihusika kuuza hicho kisiwa mali ya watanganyika ?
Kwamba kuna watu wachache wanajimilikisha visiwa na kuviuza kwa wazungu ndugai aliwahi kusema hii nchi utakuja kuuzwa sasa kama wameuza kisiwa na haiko documented mahali popote watashindwa kuuza bandari? View attachment 3660342
Taarifa yake haijasema hotel, amesem wazi ni kisiwa kinachouzwa tena ni non negotiable businessWewe kichwa boflo unakurupuka tu kama mnyama ndubwi na mimacho imekutoka ila hauoini kitu?
Kinachouzwa ni Hoteli ya kitalii sio kisiwa, nyinyi wabongo ni vilaza tupu
Kisheria mgeni haruhusiwi kumiliki ardhi, ila anaruhusiwa kukodishwa mpaka kwa mpaka miaka 99 (lease hold)Taarifa yake haijasema hotel, amesem wazi ni kisiwa kinachouzwa tena ni non negotiable business
Sheria watu wanavunj kila Leo. Tajiri kasem anauza kisiwa Chake,Kisheria mgeni haruhusiwi kumiliki ardhi, ila anaruhusiwa kukodishwa mpaka kwa mpaka miaka 99 (lease hold)
Ila kila atakachokiendeleza ndani ya huo muda, ana uwezo kukiuza kwa yoyote mwenye uwezo wa kununua halafu na mnunuzi anaendelea na mkataba huo huo bila kuanza upya, maana yake kuna malipo au ushuru unatakiwa kulipa lika mwaka kwa serikali, kwa kuwa ardhi ya kisiwa sio mali yako, na ukifanya biashara humo kama masharti ya makodisho kama hoteli ya kitalii, pia unalipia kodi kama kawaida.
Huyo hamiliki na kama akishindwa kukiuza na anataka kuondoka, anatema bungo.
Sisi tunayaishi hayo maisha kama mgeni, japo ni mbongo asilia,Sheria watu wanavunj kila Leo. Tajiri kasem anauza kisiwa Chake,
Kisiwa ni chake walimuuzia maCCM kwamba mzungu akurupuke tu eti anauza kitu sio chake acha ujuaji kichwani umejaa mavi tuKisheria mgeni haruhusiwi kumiliki ardhi, ila anaruhusiwa kukodishwa mpaka kwa mpaka miaka 99 (lease hold)
Ila kila atakachokiendeleza ndani ya huo muda, ana uwezo kukiuza kwa yoyote mwenye uwezo wa kununua halafu na mnunuzi anaendelea na mkataba huo huo bila kuanza upya, maana yake kuna malipo au ushuru unatakiwa kulipa lika mwaka kwa serikali, kwa kuwa ardhi ya kisiwa sio mali yako, na ukifanya biashara humo kama masharti ya makodisho kama hoteli ya kitalii, pia unalipia kodi kama kawaida.
Huyo hamiliki bali ana mkataba wa kumiliki, na kama akishindwa kukiuza na anataka kuondoka, anatema bungo.
Wewe bado mporipori ukijifunza utaelewa, usione aibu kukurupuka na kuandika upupu, ndio kujifunza huko mlugalugaKisiwa ni chake walimuuzia maCCM kwamba mzungu akurupuke tu eti anauza kitu sio chake acha ujuaji kichwani umejaa mavi tu
Sheria na katiba zinavunjwa sana. Mbona abdul ana uraia wa UAE, spika ana uraia wa ubelgiji na makamu wa rais ana uraia wa uingereza?Kisheria mgeni haruhusiwi kumiliki ardhi, ila anaruhusiwa kukodishwa mpaka kwa mpaka miaka 99 (lease hold)
Ila kila atakachokiendeleza ndani ya huo muda, ana uwezo kukiuza kwa yoyote mwenye uwezo wa kununua halafu na mnunuzi anaendelea na mkataba huo huo bila kuanza upya, maana yake kuna malipo au ushuru unatakiwa kulipa lika mwaka kwa serikali, kwa kuwa ardhi ya kisiwa sio mali yako, na ukifanya biashara humo kama masharti ya makodisho kama hoteli ya kitalii, pia unalipia kodi kama kawaida.
Huyo hamiliki bali ana mkataba wa kumiliki, na kama akishindwa kukiuza na anataka kuondoka, anatema bungo.
weka hapa ushahidi wa huu upupu wako nikutumie euro 10 ya mzinga wa vodkaSheria na katiba zinavunjwa sana. Mbona abdul ana uraia wa UAE, spika ana uraia wa ubelgiji na makamu wa rais ana uraia wa uingereza?