The booklist E
New Member
- Apr 22, 2024
- 1
- 1
Kwa furaha zaidi ningependa kumshukuru mungu kwa kunipa afya njema na kunipa pumzi kwa kila siku mpya. Nimeleta mawazo yangu kwenye jukwaa hili yaweze kuleta chachu na mwanga kwenye sekta mbalimbali nchini.
Hasa kwenye suala la Elimu upande wa sekta ya Ajira kumekuwa na changamoto kubwa mno hasa kwa walio wengi kukosa kazi na kuwa mtaani kwa muda mrefu na kupelekea watu wengi kuwa na maadili mabovu kwa jamii na hata taifa kwa ujumla.
Kumekuwa na matukio mengi sana ya utapeli na yamepelekea kuathiri zaidi kwa watu wa hali ya chini zaidi katika jamii ambao hata hawastahili kutapeliwa .
Nimechunguza kwa kina ni vijana tu ambao hawana ajira wako wako mtaani wanatafuta pesa kwa nguvu serikali bado haijawapa ajira ila wanafaa na wanaujuzi wa kulitumikia taifa kwenye nyanja mbalimbali.
Ukitazama kuazia miaka ya hivj karibuni teknolojia imeongezeka kwa kasi zaidi tofauti na miaka ya nyuma watu wengi wamekuwa na uelewa wa matumizi ya vyombo mbalimbali mfano simujanja,kompyuta nk ambazo zinapelekea watu kupata taarifa popote alipo au kufanya tukio lolote kupitia vyombo hivyo.
Mawazo yangu ni yapi serikali itenge muda kuwatazama vijana kwenye suala nzima la ajira na kuwa tengenezea fulsa kwa pale tu watakapokuwa nje ya elimu waweze kuwezeshwa hata kama awataweza kuwaajiri wote basi watengeneze mfumo stahiki kwa wenye ujuzi katika sekta zao ili waweze kujikwamua kwa hali walizonazo na sio kufanya uharifu kwa elimu walizokuwa nazo.
Na hata kama ni changamoto basi itengeneze usawa wa vijana kujiajiri kwenye sekta zao kwa kuwatazama ni kipi wanaweza kupata ama kujifunza kwa elimu walio nayo na kuweza kuleta mabadiliko chanya kwa taifa na jamii hii itapunguza ukosefu wa ajira.
Kivipi - kuwawezesha kufanya shughuli za uendeshaji kwenye viwanda, ujasiliamali, ubunifu kwenye teknolojia, afya na miundombinu maana kuna watu wanaujuzi ila hawatumiki kwenye hizo sekta wapo tu.
Ukiachana na mataifa mengine mfano china walivyojikwamua kwenye umasikini na kuwapa fulsa vijana kwenye viwanda na sekta zingine na kuifanya china licha ya kuwa na idadi ya watu wengi ila imajikwamua kwenye umasikini.
Na hivyo tunaitaji kwa Tanzania tuitakayo kwenye mabadiliko mkubwa

Upvote
2