Yes kisomo kinaweza kuleta matatizo sana ya maelewano pale ambapo mke ndiye msomi zaidi ya mume halaka mke akawa anajikia na usomi wake by looking down about mumewe hiyo itamfanya mume anyong'onyee by feeling small hivyo mpaka kwa 6x6 performace itashuka na hamu itapungua mwisho itapotea kabisa.
Mke akiwa msomi zaidi ya mume na mume akiwa na inferiority complex, atataka kuproove superiority kwa kubeve in strange ways including kuwa rude na kumdharau au kumdhalilisha mkewe mbele ya watu ili wamuone she is nothing.
Dawa ya kwa kwa mke msomi, no matter shule imepanda vipi, usiivae usoni, be simple and down to earth, muonyeshe mumeo you are nothing and he is everthing.
Pili zikitokea argument, ukishinda, dont reffer kwenye shule, itaonekani ni dharau. Kwa vile mtadier the way you think on things, let him be the winner at the argument, then mpige darasa na atakapojiana mjinga, atakuheshimu.
Na mwisho, its no too late to learn. Kuna mtu amegraduate open universty ya bongo over 60yrs. Hivyo mpush push mwenzio muhakikishie hajachelewa.