Kisonono baridi ni nini?

KisakoKivuyo

Senior Member
Joined
Mar 28, 2012
Posts
151
Reaction score
45
naomba kufahamishwa kisonono baridi ni nini kwasababu ukipita mitaani mabanda mengi ya Dawa za asili yanaorodhesha kisonono baridi kama miongoni mwa magonjwa wanayotibu. Hiki kisonono baridi kinasababishwa na nini, madhara yake ni nini na kwanini kinafahamika na tiba asili zaidi kuliko tiba rasmi?
 
na hii dormant syphilis inatibiwaje? na kwanini isiitwe dormant gonorrhea?
 
ndg yangu nakushauri uende ukaulize kwa hao wataalamu utapata majibu ya uhakika maana kuukiza ni bure.waone hata wamasai wauza dawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…