Kisonono na Kaswende

SUNGURA MPOLE

Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
19
Reaction score
3
Habarini wana jamvi, nilikua nauliza je magonjwa ya kisonono na kaswende na magonjwa mengine ya zinaa yanaweza kuambukizwa kwa kushea choo na bafu? Mana nina mschana wangu msaidizi wa kazi za nyumbani amepima na kukutwa ana moja ya ugonjwa wa zinaa kinachonitisha ni kuwa yeye anashea choo na mwanangu wakike 9yrs, naombeni msaada wenu.
 
mhh endelea kusubiri sigma na wenzake watakuja kukuelimisha!!na mimi nawasubiria.maan sipo vizuri pia katika hili!
 
Mie si mtaalam, lakini wataalam wameandika hapo chini.

Angalia hapa kujua nini kinaweza kuambukizwa chooni.

What Can You Catch in Restrooms?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…