Nimekutumia namba ya mwenyekiti wa kisopwa. Fanya mawasiliano nae ujue wanakobomolewa ni eneo lipi ujijue kama nawe ni muhanga au lah. Ni kweli Kuna eneo la jeshi kule. Msaada wangu ni huo mkuuWazima humu naomba kupata taarifa zenye uhakika kuhusu kisopwa huko Dar ama iko pwani sina uhakika sana,nasikia wanajeshi wanavunja na kubomoa nyumba za watu watoke kwenye maeneo yao ,ambayo kwa tetesi tu ,,Mh Kikwete aliwagawia wananchi ili wayaendeleze! Je kuna ukweli wa hizi taarifa? Maana nna kaeneo huko niliweka vimiti vya matunda.
Nawasilisha.
Nimekutumia namba ya mwenyekiti wa kisopwa. Fanya mawasiliano nae ujue wanakobomolewa ni eneo lipi ujijue kama nawe ni muhanga au lah. Ni kweli Kuna eneo la jeshi kule. Msaada wangu ni huo mkuu
Jamii forum inavituko jaman MTU ana eneo (kiwanja) lakn hajui kiwanja chake kipo mkoa gan haya n maajabu otherwise hicho kiwanja ulipewa tu kwa mdomo na hujawah kwenda huko ... Mm binafs hainiingii akilini MTU awe na uwanja lakn hajui mkoa gani
Wazima humu naomba kupata taarifa zenye uhakika kuhusu kisopwa huko Dar ama iko pwani sina uhakika sana,nasikia wanajeshi wanavunja na kubomoa nyumba za watu watoke kwenye maeneo yao ,ambayo kwa tetesi tu ,,Mh Kikwete aliwagawia wananchi ili wayaendeleze! Je kuna ukweli wa hizi taarifa? Maana nna kaeneo huko niliweka vimiti vya matunda.
Nawasilisha.