Kiss mpaka amalize form six!!

Kapax

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
215
Reaction score
21
Huyu m2 ni vip or ndo utoto unamsumbua ni demu wangu but sijawahi mshika hata mkono nikitaka kumkiss ananiambia hadi amalize form six daa au ni PCB inamchanganya embu naombeni msaada kuhusu uyu mtu!
 
Msaada gani naye keshakwambia mpaka amalize shule. Hataki kuchanganya mapenzi na shule anajiandalia maisha yake ya baadae sanasana wataka kumchezea binti wa wenyewe tii maamuzi yake kama kweli wampenda
 
sasa unataka nini tena kama yeye kashasema mpaka akalize form six? haya kamwambie Obinna wa JF amekuambia upewe hilo kiss!........na bado utapewa *******akimaliza chuo!
 
huyo mnafiki tu usikute kuna vijana wanajigongea halafu anajifanya mtulivu kwako maana akikuambia na wewe utaamini wizi mtupu
 
Ashajua akikuachia itakula kwake. I lyk mcmamo wake.
 
huyo mnafiki tu usikute kuna vijana wanajigongea halafu anajifanya mtulivu kwako maana akikuambia na wewe utaamini wizi mtupu

So huyo ni fisi eeh but ntajuaje?
 
sasa unataka nini tena kama yeye kashasema mpaka akalize form six? haya kamwambie Obinna wa JF amekuambia upewe hilo kiss!........na bado utapewa *******akimaliza chuo!

Aaaah nataka nijue kama hapa kuna real love or uchakachuz jaman hata mkono?
 
Msaada gani naye keshakwambia mpaka amalize shule. Hataki kuchanganya mapenzi na shule anajiandalia maisha yake ya baadae sanasana wataka kumchezea binti wa wenyewe tii maamuzi yake kama kweli wampenda

Mmmmh ur right but wat if she's going round my back?
 
.......................Changanya na zako.
 
Madem wanadata sana na kiss naye kashajua udhaifu wake so kapax muache binti asome!
 
dahh kumbe 2po wng mm nilijua tatizo hl lipo kwng 2.

Pole sana kijana kama vp ww tafuta mwngne zen yeye awe spare tair.
 
dahh kumbe 2po wng mm nilijua tatizo hl lipo kwng 2.

Pole sana kijana kama vp ww tafuta mwngne zen yeye awe spare tair.

Daa sasa the prbem I lov her!! Sitak mfanya spea nataka nim fix!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…