Mama Mchungaji
Member
- Sep 4, 2009
- 23
- 0
...Vipi ananuka mdomo au mustachi hauna dressing!!! Mchumishane mboga midomo haitakutana!!!jamani nisaidieni,,mi mwenzenu nina allegy na denda...ila kazinayoipata huyu mwenzangu anapenda, kila napomwambia mi sitaki utaona huyo kaja...bwana we sipendi mimi...lakini bado ananijia sehemu ya mdomo..hasa tunapokuaga kwenye ile kazi** ndo utamuona huyo kwa hio nafanya kazi ya kumkwepa..hebu nisaidieni nafanya sawa..na je nifanyaje aache kunikera maana imekua kero..si mnajua mtu anapokufanyia kitu kinachokuboa inavyokuaga.. nyie acheni.
Mmmmh!Me najitolea kukusaidia ni PM tu.
si ndio hapo,elimu yangu ya utabiri inaniambia mume wako ni mtumiaji ugoro a.k.a tumbaku. mwambie aache mara moja ili upate kuenjoy denda.
asilimia nyingi ya wapenzi wanahisi mapenzi ya dhati baina yao,uhisi furaha,raha na tamu isiyopimika wakipeana denda.Na wale wanaoanza uhusiano wakipeana denda huwa wanaamini ni hatua moja wapo katika kuyaendea yale wanayotaraji na kuyatamani katika nyoyo zao bain a yao.jamani nisaidieni,,mi mwenzenu nina allegy na denda...ila kazinayoipata huyu mwenzangu anapenda, kila napomwambia mi sitaki utaona huyo kaja...bwana we sipendi mimi...lakini bado ananijia sehemu ya mdomo..hasa tunapokuaga kwenye ile kazi** ndo utamuona huyo kwa hio nafanya kazi ya kumkwepa..hebu nisaidieni nafanya sawa..na je nifanyaje aache kunikera maana imekua kero..si mnajua mtu anapokufanyia kitu kinachokuboa inavyokuaga.. nyie acheni.
asilimia nyingi ya wapenzi wanahisi mapenzi ya dhati baina yao,uhisi furaha,raha na tamu isiyopimika wakipeana denda.Na wale wanaoanza uhusiano wakipeana denda huwa wanaamini ni hatua moja wapo katika kuyaendea yale wanayotaraji na kuyatamani katika nyoyo zao bain a yao.
hili lavu stori ni kama la titanic! greti thinka GP bana!mai waifu wangu nilipomtongoza ile nasubiri anipe jibu ilkua kama ifuatavyo:
MIMI: 'sasa dear ni kuhusu last three month ulivyonipromise utanipa jibu la kama nilivyokueleza what I feels bout you(na kibluurei mtu mzima kilinitoka, Lol!!.)
YEYE: ...(kwanza akanitizama usoni kwa macho angavu kama dakika 2 hadi mtu mzima mapigo ya moyo yakaanza kwenda mbio nikajua mtu mzima nishamwagwa!), ghafla akanivuta kwake na kunipa DENDA, Loh!, tangu siku ile DENDA lake naona kama uhai wangu!!.
kitu LIVE hii mkuu ilitokea!!.hili lavu stori ni kama la titanic! greti thinka GP bana!
teh teh teh teh teh furaha iliyoje,ni mwanzo mzuri kwa kweli.Asiyetaka kula denda dhanio la kwanza ni yeye ndie mwenye matatizo itakuwa vinginevyo iwapo tu atatoa sababu za msingi juu ya kile kinachomfanya ashindwemai waifu wangu nilipomtongoza ile nasubiri anipe jibu ilkua kama ifuatavyo:
MIMI: 'sasa dear ni kuhusu last three month ulivyonipromise utanipa jibu la kama nilivyokueleza what I feels bout you(na kibluurei mtu mzima kilinitoka, Lol!!.)
YEYE: ...(kwanza akanitizama usoni kwa macho angavu kama dakika 2 hadi mtu mzima mapigo ya moyo yakaanza kwenda mbio nikajua mtu mzima nishamwagwa!), ghafla akanivuta kwake na kunipa DENDA, Loh!, tangu siku ile DENDA lake naona kama uhai wangu!!.
mai waifu wangu nilipomtongoza ile nasubiri anipe jibu ilkua kama ifuatavyo:
MIMI: 'sasa dear ni kuhusu last three month ulivyonipromise utanipa jibu la kama nilivyokueleza what I feels bout you(na kibluurei mtu mzima kilinitoka, Lol!!.)
YEYE: ...(kwanza akanitizama usoni kwa macho angavu kama dakika 2 hadi mtu mzima mapigo ya moyo yakaanza kwenda mbio nikajua mtu mzima nishamwagwa!), ghafla akanivuta kwake na kunipa DENDA, Loh!, tangu siku ile DENDA lake naona kama uhai wangu!!.
mungu akupe maisha marefuwakati mwingine mapenzi ni sacrifice,sio lazima ufurahie kila mwenzio anachotaka.kwa kuilinda ndoa yako inabidi ujifunze kufurahia.ili mradi sio nje ya mpango wa mungu.vinginevyo mama,taratibu unaanza kumkimbiza mumeo.hata maombi hayatasaidia tena.
gonga senksi basi na wewe mpwa!!, Loh.hahaaaa mpwa umenichekesha baada ya hii asubuhi iliyotanda wingu LOL!!!
pole mama
mambo mengine ni ya kuiga tu na inawezekana hata yeye anataka denda lakini hafurahii hiyo denda. nakutahadharisha ujitahidi kumwelewa na ikibidi mzungumze umueleze unavyojisikia ukila denda. lakini kama ndicho apendacho zaidi jitahidi kujilazimisha usimkwaze mwenzio akipata denda lisilo na vikwazo anaweza kuhamishia kiu yake huko na kwako kutabaki kilio na kusaga meno.
nimeishawahi kuletewa kisa kimoja kinahusu mwanamke kukataa mwanaume asimguse hata kidogo kwa mikono sehemu za nyeti wakati wa ile kazi. mwanamke alidai akiguswa anjisikia kuwa kama "malaya fulani hivi" kwani anaweza kuendelea kushtukashtuka hata baada ya ile kazi. kwa msisitizo alisema kuwa sivyo alivyofundishwa na alikuwa tayari kuachika kama ingekuwa lazima kukubali kwa sababu ya kuolewa.
nilimudu kuwapatanisha na wanendelea vizuri hadi leo mwaka wa tatu sasa!.
ukidhamiria hakuna kinachoshindikana. unaweza kuni PM kwa msaada zaidi