TANZIA Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya afariki dunia

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Kwenye uzi ulioambatanisha hakuna chochote cha maana kinachomtambulisha kiundani huyu mwendazake.
 
Anatetea haki za weusi ili wajitambue ila kafia nchi ya weupe. Tunaomba wenyezi Mungu amfanyie wepesi katika maisha yake mapya aliyoanza.
Sasa utateteaje haki za weusi. Ukiwa kwa weusi wenzio!?

Unatetea haki za weusi ukiwa kwa wazungu manake huko kwao

Mtu mweusi anabaguliwa.

Pls recharge your art of reasoning.

Upo low sana
 
Sasa utateteaje haki za weusi. Ukiwa kwa weusi wenzio!?

Unatetea haki za weusi ukiwa kwa wazungu manake huko kwao

Mtu mweusi anabaguliwa.

Pls recharge your art of reasoning.

Upo low sana
Yeah mkuu atatetea vipi haki za watu weusi wakati amejificha kwenye security complex za wazungu?,mimi nilitegemea kusikia alikua anaishi huku makanyagio, mtwango,unango, etc etc,kumbe alikuwa Stockholm!!
 
Apumzike kwa Amani. Alikuwa mwanachama JF kwa ID ya Hotesh Wakush kama nakumbuka vyema.
 
Sasa utateteaje haki za weusi. Ukiwa kwa weusi wenzio!

Kwa hii logic inabidi wote twende Ulaya tukatetee haki za weusi huko!

Hivi Hapa Afrila haki za hao weusi zinaheshimiwa hadi useme kwa weupe ndiko kwenye wabaguzi na watetezi wa weusi wanapaswa kuwa huko?

Mnaenda kutetea haki za weusi kwa weupe kwa sababu mazingira ya hapa hayajuruhusu hata watetezi wenyewe kuishi kwa usalama

Mtu mweusi anabaguliwa.
Ni kweli anabaguliwa kwa sababu yeye mwenyewe kwanza anajidharaulisha na kujidhalilisha mbele ya dunia. Hebu imagine watu maelfu kwa maelfu wana risk kufa kwenye maji ili tu afike Ulaya....halafu piga picha kiongozi mmoja wa Serikali ya kiafrica kaiba hela ameficha Swiss au Isle of Man ili tu yeye aneemeke and millions of his countrymen wateseke.
Sasa utateteaje haki za weusi. Ukiwa kwa weusi wenzio!?

Unatetea haki za weusi ukiwa kwa wazungu manake huko kwao

Mtu mweusi anabaguliwa.

Pls recharge your art of reasoning.

Upo low sana
Una qualities zote ulizozitaja. Nakurudishia mpira.
 
Amefia nyumbani kwao Sengerema, Tafadhali fanyia marekebisho hilo.
 
Anatetea haki za weusi ili wajitambue ila kafia nchi ya weupe. Tunaomba wenyezi Mungu amfanyie wepesi katika maisha yake mapya aliyoanza.
RIP Mwamba.

Mkuu,

Si hata Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alifia Hospitali ya St. Thomas London Uingereza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…