Kisu cha Ngariba nimerudi tena

Kisu cha Ngariba nimerudi tena

Kisu Cha Ngariba

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Posts
22,135
Reaction score
48,827
Habari za jioni JF?

Nilipotea kwa zaidi ya miezi 6 kwasababu ya zilizopo nje ya uwezo wangu lakini sababu kubwa ni kukosa uwezo wa kulog in kwenye account yangu.

Naamini mtanipokea tena katika majukwaa yote, kwa bahati mbaya lile jukwaa letu pendwa wameliondoa[emoji35].

Tujumuike kusogeza gurudumu la maisha mbele.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Vipi, ushaona uzi wa kula tunda kimasihara...

Kama bado, nakushauri utafute mapema sana.. na usisahau kusubscribe mapema kabsa...
 
Karibu sana mkuu, nadhani kuondolewa kwa hilo jukwaa ambalo hata mimi silijui ni mojawapo ya hatua za kupambana na Corona hapa jamvini
 
Lipo. halijaondolewa mkuu. omba tu member mmojawapo kule akuombee wakutumbukize urudi kundini
 
Back
Top Bottom