Ingekua uraiani ningesema niishi na watu vizuri ili nililiwe sasa online niishije? Nigawe sana like au?
Ila rafiki yako huwezi kosa mawasiliano yake, ungemuuliza kosa lake huko huko, kama huna mawasiliano yake huyo siyo rafiki yako, mnazuga.
Urafiki upo si ndo huu unauonaWafate PM Mkuu,hautokosa ata mmoja.
Kuhusu mawasiliano,labda wameamua kutumia JF kuwasiliana na sio namba za simu. Siunajua hakuna urafiki wa mwanamme na mwanamke?
SI ndo hapo!Ili iweje