Kisu kilichotumika kumkata sikio Gaidi aliyehusika na mauaji yaliyotokea Moscow kimeuzwa kama njugu

Kisu kilichotumika kumkata sikio Gaidi aliyehusika na mauaji yaliyotokea Moscow kimeuzwa kama njugu

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
Raia wa Urusi wamenunua kwa fujo kisu kilichomkata sikio Gaidi la Ukraine na Marekani..

Russia 🇷🇺🚨‼️ The model that was used to cut the ear, was instantly sold out.

“Not in stock” all shops say.

IMG_20240325_164321.jpg
 
Raia wa Urusi wamenunua kwa fujo kisu kilichomkata sikio Gaidi la Ukraine na Russia 🇷🇺🚨‼️ The model that was used to cut the ear, was instantly sold out.

“Not in stock” all shops say.

We jamaa umetusaliti. Yaani umeacha kabisa kuwapigania Palestine. Umehamia kwa makafiri wengine wa Russia? Why umetuacha peke yetu tunaipambania Palestine? Wewe umehamia Russia. Hao unadhani ni ndugu zako? Umeacha Palestine wanauawa daily mpaka wamechoka kwa kipigo.
 
Magaidi wamefanya kosa kubwa kushambulia Urusi… URUSI wana-deal na magaidi KIGAIDI , hao jamaa watajuta ngoja wapelekwe Black dolphin ama SIBERIA wataomba kufa na hawatakufa.
Nimewaona leo wanatia huruma sana. Sijui kwanini hawakujiua walipoona wanakaribia kukamatwa?

Kama yule dogo aliyekuwa anatetemeka wakati wa kuhojiwa anaonekana ni mwenye maumivu makali, uso mzima umevimba na anagugumia maumivu!

Kweli nimejisikia vibaya sana!
 
Hawa magaidi wanaotumika kwa kivuli cha uislamu sio wakuonea huruma hawa, ni kuuchafua uislamu, kwa puttin wameyakanyaga, na wataongea anaewatuma/wafadhili ni akina nani!
 
Nimewaona leo wanatia huruma sana. Sijui kwanini hawakujiua walipoona wanakaribia kukamatwa?

Kama yule dogo aliyekuwa anatetemeka wakati wa kuhojiwa anaonekana ni mwenye maumivu makali, uso mzima umevimba na anagugumia maumivu!

Kweli nimejisikia vibaya sana!
Wanatia huruma japo sio wa kuhurumia, yule aliesinzia pale sijui ni court. Kuua mamia ya watu si mchezo....natamani kuona wataishiaje
 
Nimewaona leo wanatia huruma sana. Sijui kwanini hawakujiua walipoona wanakaribia kukamatwa?

Kama yule dogo aliyekuwa anatetemeka wakati wa kuhojiwa anaonekana ni mwenye maumivu makali, uso mzima umevimba na anagugumia maumivu!

Kweli nimejisikia vibaya sana!
sio wahusika hao , mtu kufikia hatua ya kushambulia eneo kama lile na kutokomea bas ujue hao wamebambikizwa tu
 
Back
Top Bottom