green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Raia wa Urusi wamenunua kwa fujo kisu kilichomkata sikio Gaidi la Ukraine na Russia 🇷🇺🚨‼️ The model that was used to cut the ear, was instantly sold out.
“Not in stock” all shops say.
Amekatwa na kina ramadhan wenzie wale wachechnia na akaambiwa alile.Twende taratibu, huyo gaidi kakatwa sikio na nani?
🇺🇸 🇮🇱 🇺🇦Magaidi wamefanya kosa kubwa kushambulia Urusi… URUSI wana-deal na magaidi KIGAIDI , hao jamaa watajuta ngoja wapelekwe Black dolphin ama SIBERIA wataomba kufa na hawatakufa.
Nimewaona leo wanatia huruma sana. Sijui kwanini hawakujiua walipoona wanakaribia kukamatwa?Magaidi wamefanya kosa kubwa kushambulia Urusi… URUSI wana-deal na magaidi KIGAIDI , hao jamaa watajuta ngoja wapelekwe Black dolphin ama SIBERIA wataomba kufa na hawatakufa.
Nimewaona leo wanatia huruma sana. Sijui kwanini hawakujiua walipoona wanakaribia kukamatwa?
Kama yule dogo aliyekuwa anatetemeka wakati wa kuhojiwa anaonekana ni mwenye maumivu makali, uso mzima umevimba na anagugumia maumivu!
Kweli nimejisikia vibaya sana!
Magaidi wote ni Waislamu, ila sio Waislamu wote ni magaidi.Hawa magaidi wanaotumika kwa kivuli cha uislamu sio wakuonea huruma hawa, ni kuuchafua uislamu, kwa puttin wameyakanyaga, na wataongea anaewatuma/wafadhili ni akina nani!
Magaidi wote ni Waislamu, ila sio Waislamu wote ni magaidi.
Kwenye video hao magaidi walikuwa wanasema Allah akbaru, nionyeshe ni wapi na lini magaidi wametoa kauli za kuashiria dini nyingine tofauti na Uislamu.Tunaomba ushahidi wa hilo! Na ukumbuke anaewatuma/fadhili vikundi hivyo!
Unataka ushahidi wa nini? Wakati wewe ndio umeanza kuingiza udini kwenye mada yako hao magaidi wamefanya tukio kwa tamaa ya pesa sio kwa dini yaoTunaomba ushahidi wa hilo! Na ukumbuke anaewatuma/fadhili vikundi hivyo!
Wanatia huruma japo sio wa kuhurumia, yule aliesinzia pale sijui ni court. Kuua mamia ya watu si mchezo....natamani kuona wataishiajeNimewaona leo wanatia huruma sana. Sijui kwanini hawakujiua walipoona wanakaribia kukamatwa?
Kama yule dogo aliyekuwa anatetemeka wakati wa kuhojiwa anaonekana ni mwenye maumivu makali, uso mzima umevimba na anagugumia maumivu!
Kweli nimejisikia vibaya sana!
Anayetia huruma zaidi ni yule dogo aliyevimba shavu jamani!Wanatia huruma japo sio wa kuhurumia, yule aliesinzia pale sijui ni court. Kuua mamia ya watu si mchezo....natamani kuona wataishiaje
Na PetroTwende taratibu, huyo gaidi kakatwa sikio na nani?
sio wahusika hao , mtu kufikia hatua ya kushambulia eneo kama lile na kutokomea bas ujue hao wamebambikizwa tuNimewaona leo wanatia huruma sana. Sijui kwanini hawakujiua walipoona wanakaribia kukamatwa?
Kama yule dogo aliyekuwa anatetemeka wakati wa kuhojiwa anaonekana ni mwenye maumivu makali, uso mzima umevimba na anagugumia maumivu!
Kweli nimejisikia vibaya sana!
Tutolee upumbavu wako hapa , ushahidi wa nyokoo nenda msumbiji chizi weweTunaomba ushahidi wa hilo! Na ukumbuke anaewatuma/fadhili vikundi hivyo!