junior,
pole sana kwa kusumbuliwa na Diabities.
kulingana na maelezo yako ni kwamba sukari yako ipo chini hivyo unatakiwa kula vinywaji vya sukari kama
soda haswa fanta,mirinda
kwa kawaida sukari normal ni kuanzia 5-7 ila pia inategemea umepima wakati gan
maana kuna fasting( hii ni unapopima sukar asubuhi kabla hujala kitu chochote-mara nyingi hii inatakiwa kua ndogo au katika hiyo range niliyo kutajia) na random (hii ni mda wowote ukiwa tayari umekula chakula-kitu chochote-hii ndio unakuta kwa normal person inakwenda mpk 9) sasa pia kwa ushauri zaid muone daktari wa sugar maana kuna vituo kazi yao ni kupima tu na hawajui implication za hiyo sukar