aloveragel
Member
- Feb 21, 2012
- 55
- 16
Jf naomba mnisaidie sukari imepungua mwilin hadi kufikia 4 hv ni vyakula gani natakiwa kuviepuke au natakiwa nizidishe vyakula vya sukari hli ipande nisaidien kwan hadi sasa nimechanganyika na inaweza kupona au plz help?
Pole mkuu nimeguswa ni kupe pole zangu.Kwa ushauri wa kimatibabu wenye kujua watakuja kukusaidia.Ila ninachojua kuna sindano za insulin huwa wanachomwagwa ila wakati upi inatumika ndo sijiu.Pole sana
junior,
pole sana kwa kusumbuliwa na Diabities.
kulingana na maelezo yako ni kwamba sukari yako ipo chini hivyo unatakiwa kula vinywaji vya sukari kama
soda haswa fanta,mirinda
kwa kawaida sukari normal ni kuanzia 5-7 ila pia inategemea umepima wakati gan
maana kuna fasting( hii ni unapopima sukar asubuhi kabla hujala kitu chochote-mara nyingi hii inatakiwa kua ndogo au katika hiyo range niliyo kutajia) na random (hii ni mda wowote ukiwa tayari umekula chakula-kitu chochote-hii ndio unakuta kwa normal person inakwenda mpk 9) sasa pia kwa ushauri zaid muone daktari wa sugar maana kuna vituo kazi yao ni kupima tu na hawajui implication za hiyo sukar