Kisukari kimenitenda, sasa uume wangu ndembendembe

jamani tatizo lako ukija neptnus limekwisha kabisa, c sulari tu bali tuna dawa za takriban magonjwa yote sugu na virutubisho, vyote hivo vimetengenezwa kwa miti shamba lakin kwa njia ya kisasa. neptunus ndo mkomboz wa afya yako

Neptnus mpo wapi mkuu?
 
Sijasoma yoote ila kama hujawahi kutumia mayai ya kwale ncheki upate dose kwa 13000 trey moja na dose ni.mayai 240 0712691155

Mkuu hii sasa ni sifa, mimi mimetumia aana hayo mayayi ckuona mabadiliko, kinachonisaidia mimi ni mazoezi tu!
 
sasa kwa upande wa shem anasemaje?, na je kwa umuonavyo amebadilika au nae katafuta mchepuko!!!.
 
sasa kwa upande wa shem anasemaje?, na je kwa umuonavyo amebadilika au nae katafuta mchepuko!!!.

Ana mshukuru Mungu kwa kuwa ninaendelea vizuri,suala la kuchepuka hawezi kufanya hivyo kwa kuwa ni mtoto wa Gwajima.
 
Mkuu pole sana kwa hali inayokusibu, Ila naomba kukuuliza swali moja; ULISHAWAHI KUWA MSANII? Nauliza hivo kwa sababu kuna sehemu umeandika maneno haya, nanukuhu "Zaidi ya kukosa nguvu za kiume uume ulianza kusinyaa na kuingia ndani utafikiri panya anataka kutoka kwenye shimo sasa anachungulia ilikujuwa usalama wake ukoje kabla ya kutoka nje"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…