Kuna aina mbili za kisukari type 1 ambayo mwili hautengenezi insulin[inayothibiti sukari mwilini]na unahitaji kujidunga sindano mbili kili siku,type 2 ambayo mwili unatengeneza insulin lakini haitoshi na unameza vidonge kuongezea.Nimekua na type 2 kwa miaka 10 sasa na nafunga kama kawaida.Fata masharti ya kutokula vitu vitamu,kufanya mazoezi na kumeza dawa.