The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
salam waungwana.mimi baba yangu anakisukari na kimemtesa sana mwanzo nilihakikisha anafuata masharti ,kikaendelea badae madaktari wakashauri atumie sindano insulin akapata ahueni ,katikuhangaika nikaambiwa nitumie herbalist clinic nimezunguka weee wapi ,ndo nimerelize type 1 wanasema haitibiki ni kufata masharti na kuchoma insulin hadi kufa ,nipeni ushauri nifanyeje hata india ka wanaweza nampeleka