Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Samahani mkuu, matunda gani naweza kula nina sukari ya kupnda type IIType 2 haina shida mazoezi maji mengi! pia tumia supu ya mbogamboga changanya karoti bamia nyanya chungu na kabechi sukari itakuwa normal!
KarotiSamahani mkuu, matunda gani naweza kula nina sukari ya kupnda type II