Mugabe one
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 2,327
- 1,683
Polepole alisema kuna mikopo ya vijana,wanawake na walemavu huko halmashauri,kama vipi nenda halmashauri ukachukue mpunga.
dodge
Usimuaminj mwanasiasa hata akiwa mama yako.Polepole alisema kuna mikopo ya vijana,wanawake na walemavu huko halmashauri,kama vipi nenda halmashauri ukachukue mpunga.
dodge
Hyo mikopo best acha tu..kwnza hawapend ijulikane...pili hupew alone..unaambiwa muunde kundi ..hilo kundi mnaweza kaa 3mths ndo mpewe hizo 500k! Kuna makundi mawili..yavijana na wamama km sikosei...na awe amepita sijui veta awe ana cheti gan sijui(km yuko upande wa vijana)..km wamama uwe unafuga..unashona vikapu sijui unalima bustan..blah blah kibaooo..unaishia kupewa 500k[emoji848]! Sema riba ndo ndg...!
Duuuh yaani vigezo vyote hivyo mwisho wa siku upewe 500k only?
Wahindi wanasema nehi nehi mkuu.
dodge