Kisumu City gallery, Kenya's 3rd city

Kadoda,ichoboy,motochini are so immature me hushindwa vile you guys stoop to low to argue with them or even mind them....yani jf saa hii imejaa tu utoto mtupu

Hahaha usianzishe vita ya mawe ukiwa unaishi kwenye nyumba ya vioo
tulia tuwape dawa
mmezidisha dharau sana
 

Kwa hivyo weye mstaarabu sio?.....
mhamiaji haramu kama weye umejificha Kenya ,umetoroka shida na njaa kali kwenyu kule bongo matopeni!
 
Unaleta picha za kibera unasema ni kisumu!!!..i told you to go get circumsised ..I see bado ku mature

Mshenzi huyo mpotezee, picha zizsizo za Kisumu anazijaza hapa eti slums za kisumu......kalb hayawan.....mashetani njooni mnipige ban!...on off on off forverer.
naichukia hii forums sana siku hizi!
 
USA is very poor ,that's why it's spying on north Korea.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

They spy most on Russia, and all the countries in the world come in that order including your matope banana republic, you illegal immigrant refugee!
 
Hahaha usianzishe vita ya mawe ukiwa unaishi kwenye nyumba ya vioo
tulia tuwape dawa
mmezidisha dharau sana

Vita ipi?
Uzi huu ulikuwa wa kuuonyesha Jiji la KISUMU, aliyeuleta mwenyewe mada ni mstaarabu hata mmemsifia.
Mgeacha tuone picha zake mgeonekana watu wastaarabu enyi wanafik mashetani wala albino.
Hususan hivi vitoto ..sijui Vidoda kadoda,MOTOMAVI ..CHINI.. Anna pamoja na lengine hili limetokea kuzimu.
 
Ukitukana ndio suruhisho!!
hahaha pole sana
Kenya watu wanaishi ki mbwa nguruwe
kila mji slum!!
 
Mshenzi huyo mpotezee, picha zizsizo za Kisumu anazijaza hapa eti slums za kisumu......kalb hayawan.....mashetani njooni mnipige ban!...on off on off forverer.
naichukia hii forums sana siku hizi!

Hahaha onahuyu
nani anakuita huku!!
Nenda forum zenu uchwara kwani umeitwa hahaha!!
mbona unajiaibisha!!
Unaichukia hii forums!!
unaipunguzia nini au unaiongezea nini!!

Hizo picha sio kenya?
Unakataa kwenu
 
Hahaha onahuyu
nani anakuita huku!!
Nenda forum zenu uchwara kwani umeitwa hahaha!!
mbona unajiaibisha!!
Unaichukia hii forums!!
unaipunguzia nini au unaiongezea nini!!

Hizo picha sio kenya?
Unakataa kwenu

Naichukia na siondoki ....MOTOMAVI wanionaje?...wanipe jembe nikalime?..jinnyonge!
 
Leteni Arusha Vs Kisumu
Si wewe ulete tu? Sisi hatuna haja na miji zenyu.
Ni watz wenzako wamesema hapa miji yenyu hazina mpangilio na miundo mbinu ya maana. Tazama kwenye ile thread ya Kericho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…