Kisumu City gallery, Kenya's 3rd city

Sasa acha nikuhabarishe vijiji vyenu vya ujamaa vyote umevitaja hapo haviingii ndani ya jiji la kisumu.
Wala sikushangai,make mnasumbuliwa na stress za maisha yakuishi kwenye vibanda ambavyo ata nguruwe uwezi fugia,kwahiyo na mind zenu zisha kufa.
 
Wala sikushangai,make mnasumbuliwa na stress za maisha yakuishi kwenye vibanda ambavyo ata nguruwe uwezi fugia,kwahiyo na mind zenu zisha kufa.

sasa nani ako stress ya maisha... Inabainika wazi Pogba wenu si yule mliyemdhania kwa hivo mmeshinda tu mkithubutu..... Mshinde hapo na stress zenu
 
Jamani Kwa watanzania na wakenya waliofika kisumu,arusha na Mwanza mji gani mzuri na nimkubwa kuliko mwingine!
 
Arusha sio mji mkubwa but ni better zaidi ya mwanza kwa majengo ya kisasa...arusha zipo subarb nzuri sana na madhari yake panapendeza sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…