Nachukuwa nafasi hii kutoa wazo hili kwa kuwa imeisha bainika wazi kuwa MJARUO hawezi kuwa Rais wa kenya milele. Na baadhi ya makabila yakidai kuwa RAYONI hawezi tawala mtu ambaye ametahiliwa. Na mbona Sudan kusini imejitenga na maisha yanaenda. Hii ndo itakuwa suluhisho la dharau ya WAKIKUYU/WAKALENJINI na wengineo wenye dhalau kama hiyo.