Kigoma ndio Mkoa ambao unatoa abiria wengi wa usafiri wa treni.(Gari moshi) kutoka Kasulu, Kibondo, Kigoma mjini na maeneo mengine kuelekea mikoani na kutoka mikoani kwa kutumia reli ya kati. Hii ni kutokana na unafuu wa gharama na wepesi wa usafiri huu ukilinganisha umbali wa mkoa huu...