Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Tulishaona kisumu haina 6 lane... Tukafunga mjadalaInaonekana Mwanza imeendelea sana. Nilisema siku mtafikia Kisumu kwa road infrastructure nitag, hebu leta barabra za Mwanza tulinganishe na Kisumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Now is picture time.Nyie watu wanapokaa si kuna mavumbi tu... Kwa hiyo zipo huko mavumbini... Halafu kumbe mnazo tatu tu.... Mbona list yako uliorodhesha kama kumi hivi.. [Emoji3]…
Tulishaona kisumu haina 6 lane... Tukafunga mjadala
Sasa mbona unajichanganya mwenyewe... Si umesema mall hazipo cbd zinajengwa kwenye makazi ya watu... Ngoja nikupuuze tu.Hizo tatu ni zenye ziko outside CBD you fool. The remaining are
Mega plaza mall CBD
Tuffoam mall CBD
West end mall CBD
Unique mall CBD
Kenton mall CBD
Tumaini
Sent using Jamii Forums mobile app
8 lane kisumu!!! Bring it.Hehehe just remain where you are, I'm bringing you 8 lane stretch from Kisumu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona unajichanganya mwenyewe... Si umesema mall hazipo cbd zinajengwa kwenye makazi ya watu... Ngoja nikupuuze tu.
Unaimbaga taarabu tu Mrs halafu nyuzi zikifufuliwa unakimbia...
Tupia na aerial
Four lanes on both sides ukiachana na footpath.8 lane kisumu!!! Bring it.
Nyie ni wapiga porojo na wakujikweza hamni babaishi.... Vingine hapo ni shopping centers tu eti mall... Eti barabara nane wangese kweli nyie...
Hivi ukiambiwa peleka 8 lane utapeleka hizi... Umechizika wewe...Four lanes on both sides ukiachana na footpath.View attachment 1319448
Sent using Jamii Forums mobile app
Now this is what we call jealousy[emoji23][emoji23]Hivi ukiambiwa peleka 8 lane utapeleka hizi... Umechizika wewe...
Nyie ni wapiga porojo na wakujikweza hamni babaishi.... Vingine hapo ni shopping centers tu eti mall... Eti barabara nane wangese kweli nyie...
Nyie ni wapiga porojo na wakujikweza hamni babaishi.... Vingine hapo ni shopping centers tu eti mall... Eti barabara nane wangese kweli nyie...
Unahesabu na zile zakuvushia watu