Picha ya Zamani sana hii.
Sasa si ndio hyo hyo barabara moja, kwn hyo njia sita zipo nje ya hapo..
Mwanza iko na barabara moja yenye imekatiza katikati ya mji mpka ikaishia ziwani
Sent using Jamii Forums mobile app
Na barabara ya nyasaka-buzuruga, mecco-national, Mkuyuni - butimba, nyegezi conner - Luchelele, usagara - kisesa? wewe ulizotaja ni njia za kutoka nje ya mji na ndio maana huwa kuna stendi mbili za mabasi sababu kila njia ina stendi yake. πππππeti njia moja inakatiza katikati ya mji! Watakuwa wameishiwa cha kukosoa ππPicha ya Zamani sana hii.
Hiyo barabara ni ya kwenda Airport, Yes ni moja Barabara kuu, hiyo ishajengwa na kuwa njia nne mpaka sita
Ipo barabara kuu nyingine inayokwenda Mpaka Sirali mpakani na Kenya
Ipo barabara nyingine inayokwenda Shinyanga mpaka Dar Es Salaam ambayo ikifika Usagara Round about inatoa tawi la kwenda Kigali na Kampala
View attachment 1320304
Sent using Jamii Forums mobile app
Turudi hapa πππ
I'm seeing an interchange, do you have interchange in Mwanza?[emoji23][emoji23][emoji23]Turudi hapa [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1320367
Huwezi shindanisha city ya hivi na Mwanza hii washindane na ndugu yake mbeya city, maana hapa ni kama tunashindanisha mbuzi (kisumu) na ng'ombe (mwanza) mara mwingine aseme mbuzi ana ndevu ng'ombe hana but that doesn't mean mbuzi ni mkubwa kuliko ng'ombe
Ndio nimesema mbuzi kuwa na ndevu haimanishi ni mkubwa kuliko ng'ombe πππππeti interchange ya hivyoI'm seeing an interchange, do you have interchange in Mwanza?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona uchafu tu, ngoja nitafte miwani ya macho πππI'm seeing an interchange, do you have interchange in Mwanza?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nimesema mbuzi kuwa na ndevu haimanishi ni mkubwa kuliko ng'ombe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti interchange ya hivyo
Juu hamna?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona uchafu tu, ngoja nitafte miwani ya macho [emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo ni view zako sio! ππππau kuna research ilifanywa wakaja na conclusion hiyo! na hisi ni wewe nilikuambia wakati flani siku ukitoa takataka ulizokariri ndio utakuwa na uwezo wa kuchambua mbivu na mbichi . and still unadanganya uma,My first quiz, nini inafanya Mwanza ikuwe ng'ombe na Kisumu ikuwe mbuzi?
Second quiz, do you have any 17 floors buildings in Mwanza?, Kisumu has 3.
Do Mwanza roads even have streets lights?
The last time I checked Kisumu economy was higher than that of Mwanza.
Kisumu real estate is better than that of Mwanza.
Kisumu has better roads than Mwanza.
Kisumu has better hospitals than Mwanza.
Kisumu has better airport than Mwanza.
Kisumu has more shopping centers than all cities in Tanzania combined outside Dar.
Kisumu has better schools than Mwanza.
The Port of Kisumu is better than that of Mwanza.
Kisumu is well planned than Mwanza.
Ni nini Mwanza inashindia Kisumu if I may ask.[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok let's start with street lights. Bring of at least two different streets if incase they are there. I'm waiting[emoji23][emoji23][emoji23]Hizo ni view zako sio! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]au kuna research ilifanywa wakaja na conclusion hiyo! na hisi ni wewe nilikuambia wakati flani siku ukitoa takataka ulizokariri ndio utakuwa na uwezo wa kuchambua mbivu na mbichi . and still unadanganya uma,
Hizo ni view zako sio! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]au kuna research ilifanywa wakaja na conclusion hiyo! na hisi ni wewe nilikuambia wakati flani siku ukitoa takataka ulizokariri ndio utakuwa na uwezo wa kuchambua mbivu na mbichi . and still unadanganya uma,
Wee hamnazo kweli ππππhiyo uliza hata Google atakuambia, turudi hapa kwanza πHey do you have street lights in Mwanza? Kama hakuna just say so coz I'm waiting for the picture
Sent using Jamii Forums mobile app
Unique mall. 12 floors.Wee hamnazo kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo uliza hata Google atakuambia, turudi hapa kwanza [emoji116]View attachment 1320409sema kama kuna jengo refu nimeliacha hapo usisahau kuwa jengo la 9 kwa urefu ni 5floor [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanza city alone has more watervessels than not only Kisumu but the whole of Kunyaland!My first quiz, nini inafanya Mwanza ikuwe ng'ombe na Kisumu ikuwe mbuzi?
Second quiz, do you have any 17 floors buildings in Mwanza?, Kisumu has 3.
Do Mwanza roads even have streets lights?
The last time I checked Kisumu economy was higher than that of Mwanza.
Kisumu real estate is better than that of Mwanza.
Kisumu has better roads than Mwanza.
Kisumu has better hospitals than Mwanza.
Kisumu has better airport than Mwanza.
Kisumu has more shopping centers than all cities in Tanzania combined outside Dar.
Kisumu has better schools than Mwanza.
The Port of Kisumu is better than that of Mwanza.
Kisumu is well planned than Mwanza.
Ni nini Mwanza inashindia Kisumu if I may ask.[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna street lights[emoji1787][emoji1787][emoji1787] This is the reason Mwanza should be compared to Kisii[emoji23][emoji23][emoji23]Wee hamnazo kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo uliza hata Google atakuambia, turudi hapa kwanza [emoji116]View attachment 1320409sema kama kuna jengo refu nimeliacha hapo usisahau kuwa jengo la 9 kwa urefu ni 5floor [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hehehe with Kisumu having a bigger economy than Mwanza your second city[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwanza city alone has more watervessels than not only Kisumu but the whole of Kunyaland!
πππππbring the images tuverify hapa, tatizo huwa mnataka sifa kwa kuweka uongo leta hizo building hapaUnique mall. 12 floors.
Terrace apartment 10 floors.
Blue waters hotel 9 floors.
West end mall 10 floors.
Kenton 14 floors.
Umeacha so many that I think only pictures can do. Now show me your street lights[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app