Kisumu vs Mwanza

Wenzako wanaleta habari za maendeleo makubwa kama meli na ujenzi wa hospital wewe unaleta majengo ya guest house

Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima tujue pia watu vipato vyao ni vipi, je mambo mitaani ni vipi...sio kutuonyesha meli, misingi ya ma hospitali kumbe watu mitaani hawana kitu..hohehahe tu..

Kuhusu hospitali kisumu zitele

Mwenzako kadanganya anatuletea vitu sivyo... Na wewe unashadadia tu ...Cheki hapo juu Geza alivyomwambia... Waongo sana ninyi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…