Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Hii kitu ipo siku hizi pale Bismarck rock?Ee bwana eeh usicheze na mwanza kabisa...unaweza kuja huku ukasahau kurudi huko kwa wanywa sumu au huko kibera....View attachment 1304639View attachment 1304640
Sent using Jamii Forums mobile app
Pale naonaga sana zile boats.. Sidhani kama vya hivi vipo pale....Nadhani pale kwenye boats za kuendea saanane zitakuwepo....kwa pale Bismarck rocks sina uhakika.H
Hii kitu ipo siku hizi pale Bismarck rock?
mbona picha maeneo ya Mwanza? angalia picha ya tatu!Pale naonaga sana zile boats.. Sidhani kama vya hivi vipo pale.
Yah ni Mwanza... Ila kauliza kama zipo pia pale Bismarck rocks..,pale sizionagi labda zipo....nahisi zipo lile eneo lenye boti za kwenda saanane.mbona picha maeneo ya Mwanza? angalia picha ya tatu!
Hizi ziko beach moja inaitwa charcoal ribs, iko jirani na jembe beach.Pale naonaga sana zile boats.. Sidhani kama vya hivi vipo pale....Nadhani pale kwenye boats za kuendea saanane ndo vipovipo....kwa pale Bismarck rocks sina uhakika.
Ooh shukrani mkuu... Ni hapo tu au kuna maeneo mengine?Hizi ziko beach moja inaitwa charcoal ribs, iko jirani na jembe beach.