Kisumu vs Mwanza

Shidako hielewangi kingereza, the article is saying that the upgrade will increase the capacity from the current 500,000 to 1M. Capacity and PAX are two different things, current PAX is 800,000 while it's maximum capacity is 500,000 just the same way JNIA has a capacity of 6.5M while its PAX is only 2.5M.
 
So mlingoja watu wafunge nchi alafu mjigambe venye airports zenu zifanya kazi?😂😂😂 Haya basi tuambie Zanzibar had how passengers to put it in top four.
Nyinyi ndio wale mkipigwa mnasingizia ulikua hujavua shatii
 
Soma hii pdf hapo chini ,mwisho kabisa kuna attachments za mapato afu linganisha nani ni nani View attachment 1759123
Soft drinks ni pamoja na maji,TBL mbona viwanda vya maji nk vya soft drinks vipo?

Tufanye havipo vipi Kuhusu logistics industry nyuma ya Dar ,Mkoa gani una kampuni nyingi za hiyo industry?
Ni pale anapofananisha uchumi wa Mwanza wa mining, industries, lake port services, fishing na Arusha ya tourism na industries chache!
Hivi Arusha ina media ya maana kweli inayosikilizwa na kutazamwa mikoa yote Tanzania?!
1.Arusha kuna TV station kubwa kufikia hata nusu ya star TV?!
2. Radio station Kama RFA inayosikika nchi nzima na nchi zote za maziwa makuu, mtambo kama huo Arusha upo kweli?!
3. Radio inayofikia hata nusu tu ya coverage ya kiss fm Arusha ipo?!

Mwanza ina mameya wawili wanaosimamia halmashauri mbili zinazounda jiji, huko Arusha ni ngapi?
Idadi ya ndege zinazotua na kupaa Mwanza ni nyingi kuliko Arusha.
 
Amezoea kueneza propaganda za CCM, trying to portray what is not there as if it is there., kujikweza tu.
 
Sasa unabishana na facts mzee 😅 kwamba zanzibar ni wanne ukanda huu
Hakuna facts yoyote nimepingana nayo, kama uko nayo ebu ilete. Nataka kuona hiyo Zanzibar ni namba nne na abiria wangapi.
 
Nimekuambia utajisumbua, Tena sio less than 200,000 ulikuwa unaongelea before?😂😂.

Haya ndio hizi figures za Tanzanian airports, Mwanza is doing 200,000 passengers in a year 😂😂👇👇

View attachment 1765384
Alafu anatokea zwazwa mmoja anajaribu kulinganisha arusha na mwanza😥
Hebu chkueni kia +arusha airport tumewazidi zaidi ya mara 5 😎
Yan nyie ligi yenu ule uwania wetu mdogo arusha airport dah
Kilichonichekesha ni hapo kwenye international passengers🤣🤣yan abiria wenu wanatoka mbagala tu
Ndo maana tunawaambia kila siku mwanza is a local city for local people mji flani wa kishamba sana
 
Hawa watu siku hizi sipingani nao, facts ziko too obvious to dispute, wanapenda tu kujigamba na kuponda Kenya ili waonekane nafuu, Tz iko down bado.,
wao wa tz wanaona ni kama nchi yao ndio iliyoendelea zaidi kuliko nchi yoyote africa!. wao wanaeza kuisifia ukadhani ughaibuni, na kwa hakika hakuna cha ajabu, paakawaida sana. wacha bado wazidi kuota ndoto, sijui nani aliwapumbaza hawa watu
 
🤣🤣🤣🤣 et na wanawaume wakikenya wataanza kuingia hedhi na mdazi asipoangalia ataanza kupata hedhi muda si mrefu.
 
Ndio maana nakuambia kuishindanisha Mwanza na arusha peke yake ni vichekesho sasa hivi umeamua kuijumlisha na kilimanjaro kabisa ili upambane na The great Mwanza city tena nakushahuri uongeze adi na manyara ndio mje tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…