Kisumu vs Mwanza

The eastern and central Africa longestJPM's Kigongo-Busisi Bridge, 27% done and counting..









 
CBK Kisumu opened its doors so many years ago. Mumefungua yenu juzi na usha anza kiburi.
View attachment 1817978
CBK Kisumu opened its doors so many years ago. Mumefungua yenu juzi na usha anza kiburi.
View attachment 1817978
BOT imekuwepo mwanza since 1970's .Hili jengo unalilofunguliwa jana limejengwa kutoka na demand kuongezeka ukizingatia Mwanza ndo centre ya biashara ya madini afrika mashariki na kati.So,kuna biashara kubwa kuliko matarajio yaliyokuwepo since miaka ya nyuma.Mwanza kuna majengo makuu matatu ikiwa pamoja na Chuo kikuu cha BO.Ukweli ni kwamba size ya Mwanza ni Kampala,Kigali na Mombasa sio Kisumu city ndo maana Kisumu yenyewe inazidiwa Nakuru new city.
 
Kiongozi ungeweza kupata picha ya jengo la BOT la zamani la pale mtaa wa kemondo ungewatumia tena ni kubwa tu kama ili lililozinduliwa jana.
 
Ila Bank of Tanzania ina training Institute Mwanza na si University (chuo kikuu)!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…