Kisumu vs Mwanza

Kisumu wanalalamika Omena awapatikani, eti waganda na Watanzania wanawapora. Wakasahau kwamba wana enzo dogo sana ya sehemu ya viwa. TZ wana asili % kubwa zaidi ya Uganda na kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…